Kwa muda mrefu maisha yangu yalionekana kama mzaha wa kijinga.
Nilijituma kazini, nilifanya biashara ndogo ndogo, lakini chochote nilichogusa kilionekana kuharibika ghafla.
Nilipoteza wateja, marafiki wakaniacha, na hata ndugu wakaanza kuniangalia kama mkosi.
Nilijaribu kila aina ya mbinu ya kuboresha maisha, nikasoma vitabu vya “motivation,” nikaenda semina za mafanikio, lakini bado nilihisi kama kuna kitu kisichoeleweka kinanizuia kusonga mbele.









No comments:
Post a Comment