PYRAMIDS FC YAIBUKA MABINGWA WA CAF SUPER CUP BAADA YA BAO LA MAYELE - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Sunday, 19 October 2025

PYRAMIDS FC YAIBUKA MABINGWA WA CAF SUPER CUP BAADA YA BAO LA MAYELE

Mastaa wa Pyramids FC wameanza msimu kwa kishindo baada ya kutwaa ubingwa wa Kombe la CAF Super Cup 2025, wakishinda kwa bao 1–0 dhidi ya RS Berkane ya Morocco.

Bao pekee la mchezo huo lilifungwa dakika ya 75 na Fiston Kalala Mayele, ambaye aliibeba timu yake na kuipa taji lake la kwanza tangu kutwaa CAF Champions League msimu uliopita...SOMA ZAIDI

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad