Daniel Mbega enzi za uhai wake
....................................
Na Dotto Mwaibale
Mwandishi wa Habari Mkongwe Daniel Mbega amefariki dunia
Oktoba 11, 2025 nyumbani kwake Mbande Jijini Dar es Salaam.
Mtoto mkubwa wa marehemu, Baraka
Mbega amesema baba yake amefariki leo Oktoba 11, 2025 majira ya saa 11 alfajiri
baada ya kuugua kwa muda mrefu.
Alisema mipango ya mazishi inafanyika na taarifa za ratiba ya mazishi yake itatolewa baada ya kikao cha ndugu ambacho kinafanyika.
Bwana ametoa, Bwana ametwaa, jina
lake lihimidiwe, apumzike kwa amani. AMINA.








No comments:
Post a Comment