.......................................
Na Dotto Mwaibale, Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu
Hassan amemuapisha Mhe. Dkt. Florence Samizi kuwa Naibu Waziri wa Afya leo
Novemba 18, 2025, Ikulu Chamwino Dodoma.
Mhe. Dkt. Samizi ni Mbunge wa Jimbo la Muhambwe Wilaya ya
Kibondo Mkoa wa Kigoma.








No comments:
Post a Comment