HAWA HAPA NYOTA WA YANGA SC KUWAKOSA WAARABU - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Friday, November 28, 2025

HAWA HAPA NYOTA WA YANGA SC KUWAKOSA WAARABU

Wawakilishi wa Tanzania katika CAF Champions League Yanga SC, Novemba 28,2025 watakuwa na mchezo wa pili hatua ya makundi dhidi ya JS Kabylie.

Mchezo huo utachezwa Uwanja wa Hocine Ait Ahmed Ijumaa kwa wababe hao kutoka kundi B kukutana uwanjani.

Kuna orodha ya nyota ambao wataukosa mchezo huo dhidi ya Waarabu wa Algelia kutokana na sababu mbalimbali.

Beki Kibwana Shomari, Dennis Nkane, Sure Boy, Abdulnasir maarufu kama Casemiro, Clement Mzize ambaye ni mshambuliaji, Farid Mussa, Nizar Othman Abubakar. SOMA ZAIDI

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad