PAGALA LA NYUMBA LINAUZWA DODOMA MJINI - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Monday, November 17, 2025

PAGALA LA NYUMBA LINAUZWA DODOMA MJINI

Muonekano wa pagala hilo. 
................................

Pagala la nyumba linauzwa lipo Barabara ya Iringa kuelekea Kituo Kikuu cha Reli ya Mwendo Kasi SGR Mkonze jirani na Shule ya Msingi Mkonze na Kituo cha Afya cha Mkonze. 

Mahali ambapo lipo pagala hilo pana miundombinu yote, Maji, Umeme na eneo lilopimwa na Serikali. 

Lina vyumba viwili ambavyo ni seif, jiko, stoo na chumba cha chakula. 

Ukubwa wa eneo ni Square mita 424 

Bei ni Sh. Milioni 25.

Kwa atakayelihitaji piga simu namba 0755223104

Muonekano wa pagala hilo ambalo lipo jirani na barabara kuu ya kwenda Mkoa wa Iringa eneo la Mkonze.
 

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad