JKCI YAENDELEZA DIPLOMASIA YA AFYA KUPITIA USHIRIKIANO NA UBALOZI WA CHINA - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Saturday, December 20, 2025

JKCI YAENDELEZA DIPLOMASIA YA AFYA KUPITIA USHIRIKIANO NA UBALOZI WA CHINA

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge akimkabidhi tuzo ya shukrani Mkuu wa Uchumi na Biashara wa Ubalozi wa China nchini Tanzania, Chu Kun kwa kutambua ushirikiano kati ya JKCI na Serikali ya China katika utoaji wa huduma za matibabu ya moyo na mafunzo kwa wataalamu wa afya nchini.
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI)  Dkt. Peter Kisenge akimkabidhi zawadi Msaidizi wa Mkuu wa Uchumi na Biashara wa Ubalozi wa China nchini Tanzania Zhou Zihan  baada ya kumalizika kwa mazungumzo yaliyolenga kuendeleza ushirikiano wa huduma za matibabu ya moyo kwa raia wan chi hiyo wanaoishi Tanzania.
 Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge akiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Uchumi na Biashara wa Ubalozi wa China nchini Tanzania  Chu Kun  mara baada ya kumalizika kwa mazungumzo ya ushirikiano wa  kutoa huduma za matibabu ya moyo kwa raia wa nchi hiyo wanaoishi Tanzania.
Picha na JKCI

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad