Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na
Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam katika Kituo
cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC), Jijini Dar es Salaam
tarehe 02 Desemba, 2025.
Sehemu ya Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam wakiwa kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere
(JNICC), Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kumsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan tarehe
02 Desemba, 2025.















No comments:
Post a Comment