Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge akizungumza na wafanyakazi wa Arusha Lutheran Medical Center (ALMC) wakati wa kikao cha kutoa mwelekeo wa kazi na mustakabali wa uendeshaji wa hospitali hiyo ambayo kuanzia tarehe 1/1/2026 itakuwa chini ya usimamizi wa JKCI. ALMC inamilikiwa na Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Kati (DKAK).
Wafanyakazi wa Arusha Lutheran Medical Center (ALMC) wakimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge wakati akizungumza nao kuhusu mwelekeo wa kazi na mustakabali wa uendeshaji wa hospitali hiyo ambayo kuanzia tarehe 1/1/2026 itakuwa chini ya usimamizi wa JKCI. ALMC inamilikiwa na Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Kati (DKAK).








No comments:
Post a Comment