ALIANZA KUNIFIKIRIA KILA SIKU-HATUA NILIZOCHUKUA NDIYO ILIMFANYA KUNIWAZA KWENYE AKILI YAKE - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Wednesday, January 14, 2026

ALIANZA KUNIFIKIRIA KILA SIKU-HATUA NILIZOCHUKUA NDIYO ILIMFANYA KUNIWAZA KWENYE AKILI YAKE

Siku zote nilikuwa nikihisi moyo wangu unaumika kila nilipomuona mpenzi wangu akipotea. Kila mara nilijaribu kuzungumza naye, lakini mara zote majibu yake yalikuwa ya kawaida, bila hisia yoyote. 

Nilihisi kama hatimaye ananipuuza kabisa.

Hali hiyo ilinifanya nijihisi mnyonge na kuchoka kiakili.

 Mara nyingi nililala nikiwa na huzuni, nikijiuliza kama bado angeweza kunipa nafasi ya pekee katika maisha yake.

Nilijaribu njia zote za kawaida kuongea, kumpa zawadi, hata kumsaidia katika changamoto zake lakini hakuna kilichobadilisha jinsi alivyokuwa akinionea.

Endelea Kusoma

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad