Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mhe. Joseph Mkude akizungumza na waandishi wa habari alipotembelea jana kambi maalumu ya matibabu ya magonjwa mbalimbali yakiwemo ya moyo inayofanyika katika Hospitali ya Arusha Lutheran Medical Center (ALMC).
Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mhe. Joseph Mkude akimsalimia mkazi wa Arusha aliyefika kufanyiwa uchunguzi na matibabu ya moyo katika kambi maalumu ya matibabu ya magonjwa mbalimbali yakiwemo ya moyo inayofanyika katika Hospitali ya Arusha Lutheran Medical Center (ALMC).
Daktari bingwa wa magonjwa ya moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Salehe Mwinchete akimueleza Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mhe. Joseph Mkude jinsi wanavyopima utendaji kazi wa moyo kwa kutumia mashine ya ECHO wakati wa kambi maalumu ya upimaji na matibabu ya magonjwa mbalimbali yakiwemo ya moyo inayofanyika Hoapitali Arusha Lutheran Medical Centre (ALMC).
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete Dkt. Peter Kisenge akimsalimia mkazi wa Arusha aliyefika kufanyiwa uchunguzi na matibabu ya moyo katika kambi maalumu ya matibabu ya magonjwa mbalimbali yakiwemo ya moyo inayofanyika katika Hospitali ya Arusha Lutheran Medical Center (ALMC).
Afisa Muuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Hania Bwahama akimpima mkazi wa Arusha kipimo cha kuangalia sukari kwenye damu katika kambi maalumu ya upimaji na matibabu ya magonjwa mbalimbali yakiwemo ya moyo inayofanyika Hospitali ya Arusha Lutheran Medical Centre (ALMC) iliyopo jijini Arusha.








No comments:
Post a Comment