RAIS DKT. SAMIA AFUNGUA MKUTANO MKUU WA MWAKA WA CHAMA CHA MAHAKIMU NA MAJAJI TANZANIA (TMJA) - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Wednesday, 14 January 2026

RAIS DKT. SAMIA AFUNGUA MKUTANO MKUU WA MWAKA WA CHAMA CHA MAHAKIMU NA MAJAJI TANZANIA (TMJA)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania, Tambukareli Jijini Dodoma kwa ajili ya kufungua Mkutano wa Mkuu wa mwaka wa Chama cha Mahakimu na Majaji Tanzania (TMJA) tarehe 13 Januari, 2026. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiteta na Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. George Mcheche Masaju kabla ya kufungua Mkutano wa Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mahakimu na Majaji Tanzania (TMJA) uliofanyika katika Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania, Tambukareli, Jijini Dodoma tarehe 13 Januari, 2026.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Mahakimu na Majaji Tanzania (TMJA) kabla ya kufungua mkutano huo uliofanyika katika Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania, Tambukareli, Jijini Dodoma tarehe 13 Januari, 2026.

 

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad