Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipanda mti wa Muembe (Mangifera indica) katika eneo la Bungi Kilimo, Mkoa wa Kusini Unguja tarehe 27 Januari, 2026, wakati wa kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa. Rais Mhe. Dkt. Samia alizaliwa tarehe 27 Januari, 1960 katika Kijiji cha Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar.
Tuesday, January 27, 2026
Home
Habari
RAIS. DKT. SAMIA AONGOZA ZOEZI LA KUPANDA MITI WAKATI WA KUMBUKUMBU YA SIKU YAKE YA KUZALIWA
RAIS. DKT. SAMIA AONGOZA ZOEZI LA KUPANDA MITI WAKATI WA KUMBUKUMBU YA SIKU YAKE YA KUZALIWA
Tags
# Habari
Kuhusu - Singidaniblog
Habari
Tags:
Habari
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Ni chombo cha habari kinachotoa habari na matukio mbalimbali nchini Tanzania na kokote duniani ,kwa kujali weledi na taaluma ya habari.
KWA MATANGAZO NA HUDUMA YA HABARI, WASILIANA NASI,
0754 362 990.
0688 914 344
Email: singidani77@gmail.com,







No comments:
Post a Comment