RAIS . DKT. SAMIA AZINDUA HOTELI YA JAZ ELITE AURORA, MICHAMVI, MKOA WA KUSINI UNGUJA-ZANZIBAR. - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Saturday, January 10, 2026

RAIS . DKT. SAMIA AZINDUA HOTELI YA JAZ ELITE AURORA, MICHAMVI, MKOA WA KUSINI UNGUJA-ZANZIBAR.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa pamoja na Mmiliki wa Hoteli ya Jaz Elite Aurora, Bw. Hamed El Chiatykuashiria uzinduzi wa Hoteli hiyokatika haflailiyofanyika Michamvi, Mkoa wa Kusini, Unguja, Zanzibar tarehe 09 Januari 2026. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Hoteli ya Jaz Elite Aurora katika hafla iliyofanyika Michamvi, Mkoa wa Kusini, Unguja, Zanzibar tarehe 09 Januari 2026. Taswira ya Hoteli ya Jaz Elite Aurora iliyopo Michamvi, Mkoa wa Kusini, Unguja, Zanzibar ambayo imezinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, tarehe 09 Januari 2026. 

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad