Mwanahabari Joachim Ernest Mushi anasikitika
kutangaza kifo cha Mama yake mzazi Mecktilda
Joseph Lugazu kilichotokea Januari 6,
2026 Hospitali ya General Jijini Dodoma alikokuwa akipatiwa matibabu.
Taratibu za
mazishi zinafanyika nyumbani kwake Kifuru-Kinyerezi Ilala Jijini Dar es Salaam
ambapo mwili wa marehemu unatarajiwa kusafirishwa Januari 9, 2026 kutoka Dodoma
kuelekea Uru Mawela, mkoani Kilimanjaro kwa mazishi yatakayo fanyika Januari 10,
2026 nyumbani kwao Mawela.
Bwana Alitoa na Bwana Ametwaa jina lake lihimidiwe.







No comments:
Post a Comment