Meneja Mkaazi wa Air France–KLM nchini Tanzania, Rajat Kumar (kulia), akikabidhi moja ya mashine za kushonea kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Forward Motion (FOMO), Vivian Sirikwa, wakati wa hafla ya kukabidhi msaada huo. Kushoto ni Meneja wa Air France–KLM Ukanda wa Afrika Mashariki, Viyalrth Abbas.
Katika jamii nyingi, kuwa mama katika umri mdogo huambatana na changamoto kubwa—kutengwa kijamii, ukosefu wa kipato na kukatizwa kwa masomo.









No comments:
Post a Comment