Maisha ya Chuo Kikuu yalikuwa yamenigeuka kuwa mwiba mchungu. Jina langu ni Juma, mwenyeji wa Arusha ‘Chuga’. Licha ya kuwa nilikuwa vizuri sekondari, nilipofika chuo mambo yalianza kuwa hovyo. Kila nikifanya mtihani, matokeo yakitoka nakuta nina ‘supp’ au nimefeli kabisa. Nilikwama mwaka wa pili kwa miaka mitatu mfululizo, huku marafiki zangu wote wakihitimu na kuniacha nikisota.
Hali hiyo ilinipelekea kukosa hata hamu ya mahusiano. Kila msichana niliyemfuata chuoni alinitolea nje akidai mimi ni ‘kilaza’ na sina mbele wala nyuma. Nilikata tamaa, nikajihisi kama nimerogwa au nina nuksi ya tangu kuzaliwa.








No comments:
Post a Comment