KILIO CHA MIAKA SABA MTAANI CHAGEUKA KICHEKO CHA MSHAHARA WA MAMILIONI - SINGIDANI BLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Monday, 16 February 2026

KILIO CHA MIAKA SABA MTAANI CHAGEUKA KICHEKO CHA MSHAHARA WA MAMILIONI

Maisha ya mtaani hayana huruma, na hakuna kitu kinachoumiza kama kuamka kila siku ukiwa na shahada yako kabatini huku mifuko ikiwa haina hata senti tano ya kununulia mkate. Mimi naitwa Elias Mshana, mwenyeji wa mji wa Moshi, mkoani Kilimanjaro.

Baada ya kuhitimu masomo yangu ya Uhasibu mwaka 2017, nilijua milango ya mafanikio ingefunguka haraka, lakini ukweli ukawa mchungu kuliko shubiri.

Kwa miaka saba mfululizo, nilikuwa mtu wa kupiga misele na bahasha za kaki maeneo ya Posta na Kariakoo jijini Dar es Salaam. Nilijaribu kila ofisi, kuanzia za serikali hadi za binafsi, lakini jibu lilikuwa lilelile: “Tutakuvuta.”

ENDELEA  KUSOMA

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad