Katika ulimwengu wa makampuni (corporate world), kupanda ngazi mara nyingi kunahitaji zaidi ya elimu na bidii; wakati mwingine inahitaji bahati na nyota inayong’aa. Hii ni hadithi ya Joyce, mwanamke msomi mwenye shahada ya uzamili (Masters), ambaye kwa miaka kumi alikuwa amekwama katika nafasi ya ukarani huku akiwaona wafanyakazi wapya na wasio na uwezo mkubwa wakipandishwa vyeo kumpita.
Joyce alikuwa mchapakazi hodari katika kampuni kubwa ya bima jijini Dar es Salaam. Kila kulipotokea nafasi ya meneja au mkuu wa idara, alituma maombi na kufanya usaili vizuri, lakini nafasi hizo walipewa watu wengine kwa njia za kujuana au upendeleo. Hali hii ilimfanya Joyce kujiona mnyonge, mwenye mkosi, na kuanza kufikiria kuacha kazi hiyo licha ya kuwa na majukumu mengi ya kifamilia.









No comments:
Post a Comment