MAKAMU WA RAIS AKIWEKA SHADA LA MAUA KABURI LA NDUNO SONGEA MBANO - SINGIDANI BLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Friday, 27 February 2026

MAKAMU WA RAIS AKIWEKA SHADA LA MAUA KABURI LA NDUNO SONGEA MBANO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akiweka shada la maua katika kaburi la Nduna Songea Mbano, ambaye alikuwa kiongozi mwandamizi wa Mashujaa wa Vita ya Majimaji ikiwa ni kumbukizi ya Miaka 120 ya Mashujaa wa Vita ya Majimaji, iliyofanyika katika viwanja vya Makumbusho ya Vita ya Majimaji Songea, mkoani Ruvuma, leo tarehe 27 Februari 2026.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad