NILINYIMWA PROMOTION KILA MWAKA, NJIA HII IKANIWEZESHA KUANZISHA KAMPUNI YANGU KUBWA KUWASHINDA - SINGIDANI BLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Tuesday, 3 February 2026

NILINYIMWA PROMOTION KILA MWAKA, NJIA HII IKANIWEZESHA KUANZISHA KAMPUNI YANGU KUBWA KUWASHINDA

Kila mwaka nilisubiri kwa hamu kupata promotion kazini, lakini kila mwaka nilinyimwa bila sababu za kweli. Nilijisemea labda ni bahati mbaya, labda sikutosha.

Lakini baada ya muda nilianza kuona kuwa tatizo lilikuwa kubwa zaidi kulikuwa na vizuizi vilivyokuwa vikinyamazisha juhudi zangu, na wengi hawakuwa tayari kuona uwezo wangu.

Nilihisi kuchanganyikiwa, na mara nyingine hata kutojiamini.
Nilijaribu kufanya kazi kwa bidii zaidi, kushirikiana na wenzangu, na kuonyesha uwezo wangu mara kwa mara, lakini promotion bado haikujia.

ENDELEA KUSOMA

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad