Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia katika uzinduzi wa
Jukwaa la Uwekezaji barani Afrika (GAIS), Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu
tarehe 03 Februari, 2026.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Rais wa
Angola ambaye pia Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika (AU) Mhe. João Lourenço, Rais
wa Jamhuri ya Ghana Mhe. John Mahama wa pili kutoka (kushoto),Waziri
Mkuu wa Msumbiji Mhe. Maria Benvinda Levy wa kwanza (kushoto), Mwanzilishi
Mwenza na Mwenyekiti Mtendaji wa GAIS na Rais Mstaafu wa Benki ya Maendeleo ya
Afrika (AfDB) Dkt. Akinwumi Adesina pamoja na Mwanzilishi na Mwenyekiti
Mtendaji wa APCO Worldwide, Bi. Margery Kraus wa kwanza (kulia) mara
baada ya uzinduzi rasmi wa Jukwaa la Uwekezaji barani Afrika (GAIS),
uliofanyika Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu tarehe 03 Februari, 2026










No comments:
Post a Comment