RAIS DKT. SAMIA AONDOKA NCHINI KUELEKEA ADDIS ABABA, ETHIOPIA KUSHIRIKI MKUTANO WA WAKUU WA NCHI NA SERIKALI WA UMOJA WA AFRIKA (AU) - SINGIDANI BLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Thursday, 12 February 2026

RAIS DKT. SAMIA AONDOKA NCHINI KUELEKEA ADDIS ABABA, ETHIOPIA KUSHIRIKI MKUTANO WA WAKUU WA NCHI NA SERIKALI WA UMOJA WA AFRIKA (AU)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiagana na viongozi mbalimbali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Jijini Dar es Salaam tarehe 12 Februari, 2026 kabla ya kuondoka nchini kuelekea Addis Ababa, Ethiopia kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa 39 wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU).
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiondoka kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Jijini Dar es Salaam tarehe 12 Februari, 2026, kuelekea Addis Ababa, Ethiopia kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa 39 wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU).

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad