Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia
Suluhu Hassan akisaini Kitabu cha Maombolezo kufuatia kifo cha Askofu Mkuu
Mstaafu wa Jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali
Pengo mara baada ya kuwasili katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Yosefu Jijini Dar
es Salaam, tarehe 27 Februari, 2026.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.
Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi mbalimbali kwenye Misa Takatifu ya
kumuombea na kumuaga Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam,
Marehemu Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Yosefu Jijini
Dar es Salaam, tarehe 27 Februari, 2026.















No comments:
Post a Comment