RAIS. DKT. SAMIA AWASILI JIJINI DAR ES SALAAM MARA BAADA YA KUHITIMISHA ZIARA YAKE YA KIKAZI, DUBAI UMOJA WA FALME ZA KIARABU (UAE) - SINGIDANI BLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Friday, 6 February 2026

RAIS. DKT. SAMIA AWASILI JIJINI DAR ES SALAAM MARA BAADA YA KUHITIMISHA ZIARA YAKE YA KIKAZI, DUBAI UMOJA WA FALME ZA KIARABU (UAE)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiondoka katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Al Maktoum (DWC) Dubai, mara baada ya kuhitimisha ziara yake ya Kikazi Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), tarehe6 Februari, 2026. Mhe. Rais Dkt. Samia, alishirikikwenye Mkutano wa Dunia wa Serikali (World Governments Summit – WGS) 2026 pamoja na uzinduzi wa Jukwaa la Kimataifa wa Uwekezaji Afrika (GAIS).
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA)wakati akitokea Dubai, tarehe 6 Februari, 2026. alipokuwa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), Mhe. Rais Dkt. Samia alishirikikatika Mkutano wa Dunia wa Serikali (World Governments Summit – WGS) 2026 pamoja na Uzinduzi wa Jukwaa la Kimataifa wa Uwekezaji Afrika (GAIS).


 

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad