Wahenga walisema siri ni kama ujauzito,
haiwezi kufichika milele. Lakini hakuna aliyeamini kuwa katika sherehe ya
kawaida ya familia, ukweli ungejitokeza kwa njia ya kushangaza kiasi cha
kumfanya mchepuko kukiri mwenyewe mbele ya wakwe, watoto na majirani. Hii ni
simulizi ya Evelyn kutoka Embakasi ambaye aliteseka kwa mwaka mzima akihisi
kuna mwanamke mwingine katika ndoa yake, lakini hakuwa na ushahidi wa wazi.
Evelyn alikuwa ameolewa na Mark kwa miaka kumi
na miwili. Walikuwa wamejenga maisha ya pamoja, nyumba na biashara ndogo ya
duka. Kwa nje walionekana thabiti. Lakini ndani, kulikuwa na nyufa ndogo
zilizokuwa zinaanza kuonekana..








No comments:
Post a Comment