WAZIRI MKUU ZIARANI TANGA DARAJA LA PANGANI NA MLEMAVU - SINGIDANI BLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Monday, 16 February 2026

WAZIRI MKUU ZIARANI TANGA DARAJA LA PANGANI NA MLEMAVU

Muonekano wa Daraja la Pangani lenye urefu wa mita 525 na barabara unganishi zenye urefu wa kilomita 25.6. Gharama ya mradi huo ni Shilingi bilioni 124.9 ambalo Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo tarehe 15 Februari, 2026 amelikagua akiwa ziarani mkoani Tanga. 
PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza na mlemavu wa miguu, Nassor Shaban Sabuni ambaye alijitokeza katika mkutano wa hadhara wa Waziri Mkuu uliofanyika katika Uwanja wa Lemore Tanga mjini leo Februari 15, 2026. 

 

Ndugu Shabani alimuomba Waziri Mkuu msaada wa Pikipiki ya Matairi Matatu (Bajaji) ambapo Dkt. Mwigulu aliridhia ombi hilo na kuagiza kupatiwa aina ya bajaji anayoitaka.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad