Jina langu ni Grace, natokea mkoani Iringa. Kwa mwanamke wa Kiafrika, kufikisha miaka 37 bila kuolewa ni mzigo mzito wa kisaikolojia. Mimi nilikuwa nimeshaanza kuitwa “mke wa mtu” kwa kejeli na majirani. Kila kijana niliyekuwa naye kwenye uhusiano alikuwa ananiacha na kuoa mwanamke mwingine ndani ya muda mfupi.
Nilijihisi nina laana au labda kuna kitu kibaya kwenye mwili wangu kinachowafukuza wanaume.
Mama yangu mzazi alikuwa akilia kila akinitazama.








No comments:
Post a Comment