Naitwa Grace, mkazi wa mkoa wa Mtwara. Mume wangu ni kiongozi mkubwa katika sekta ya bandari na anaheshimika sana. Lakini ndani ya chumba chetu cha kulala, kulikuwa na siri nzito ya mateso. Nilikuwa ninasumbuliwa na tatizo la kukosa hamu ya tendo na ukavu uliokuwa unanisababishia maumivu makali sana.
Nilikuwa najihisi mwanamke nisiyekamilika na niliyekosa thamani mbele ya mume wangu mwenye heshima. Nilikuwa naogopa kwenda hospitali hapa Mtwara kwa hofu ya kukutana na watu wanaomjua mume wangu na habari zangu kusambaa.








No comments:
Post a Comment