BINTI ALIYEKUWA AKICHEKWA NA KUITWA ‘MSHINDA NJAA’ SASA ANAMILIKI MABASI - SINGIDANI BLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Friday, 13 March 2026

BINTI ALIYEKUWA AKICHEKWA NA KUITWA ‘MSHINDA NJAA’ SASA ANAMILIKI MABASI

Binti aliyekuwa akichekwa na kuitwa ‘mshinda njaa’ apata mchongo, sasa anamiliki mabasi

Kuna wakati unafika unahisi hata Mungu amekusahau, hasa unapoona wadogo zako uliowatangulia shule wanapata kazi na kuoa au kuolewa, huku wewe ukiwa bado unategemea elfu mbili ya vocha kutoka kwa shemeji yako.

Mimi naitwa Neema, mkazi wa Uyole, jijini Mbeya. Nilimaliza Shahada yangu ya Maendeleo ya Jamii (Community Development) tangu mwaka 2018, lakini maisha yangu yakawa ni ya kusubiri miujiza isiyotokea.
Nilikuwa naishi kwa kaka yangu, na mke wake alianza kuniona kama kero. Maneno ya kashfa kama “msomi gani unashinda unakula tu” yalikuwa chakula changu cha kila siku.

ENDELEA  KUSOMA

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad