BOSI WA BAA ALIYEKUWA AKIPATA WATEJA WACHACHE, SASA HIVI NI TAJIRI MKUBWA' - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Tuesday, 3 March 2026

BOSI WA BAA ALIYEKUWA AKIPATA WATEJA WACHACHE, SASA HIVI NI TAJIRI MKUBWA'

Bosi wa baa aliyekuwa akipata wateja wachache, sasa hivi ni tajiri mkubwa'
----------------------------------------

Naitwa Amos, mkazi wa zamani wa maeneo ya Tengeru, Arusha. Kwa miaka mitano, niliwekeza nguvu na akili zangu zote kwenye biashara ya baa na burudani. Nilikopa benki na kuongeza akiba yangu yote niliyokuwa nimeichuma kwa shida, nikiamini kuwa uuzaji wa vinywaji ndiyo ungekuwa ukombozi wangu.

Lakini mambo yalikuwa kinyume kabisa; baa yangu ilikuwa inajaa watu wanaokuja kusikiliza muziki na kuomba ‘ofafa’ (bia za bure), lakini uuzaji ulikuwa ni wa kusuasua kiasi cha kushindwa hata kulipa mishahara ya wahudumu.

ENDELEA KUSOMA

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad