JAMAA WA NAIROBI MZIGO WA MADENI ULIOMTESA SASA ANA AMANI YA KIFEDHA BAADA YA MSAADA HUU !! - SINGIDANI BLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Thursday, 19 March 2026

JAMAA WA NAIROBI MZIGO WA MADENI ULIOMTESA SASA ANA AMANI YA KIFEDHA BAADA YA MSAADA HUU !!

Mzigo wa madeni uliomtesa

Kevin Otieno, mkazi wa Nairobi, anasema aliishi maisha ya presha kwa muda mrefu kutokana na madeni yaliyokuwa yakimkabili. Alianza kwa mikopo midogo ya biashara, lakini kutokana na hasara na matumizi yasiyopangwa, madeni yaliongezeka na kuwa mzigo mkubwa.

Kwa mujibu wake, simu za wadai zilikuwa sehemu ya maisha yake ya kila siku. Wakati mwingine alijikuta akiepuka kupokea simu au hata kubadilisha namba kwa hofu ya kufuatwa na wadai.

“Nilikuwa naishi kwa hofu kila siku. Nilihisi kama sina njia ya kutoka,” alisema Kevin.

SOMA ZAIDI

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad