KISA CHA MFANYABIASHARA ALIYEKUWA AKICHUNWA NA WANAWAKE HADI KUFILISIKA! - SINGIDANI BLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Tuesday, 10 March 2026

KISA CHA MFANYABIASHARA ALIYEKUWA AKICHUNWA NA WANAWAKE HADI KUFILISIKA!

Kisa cha mfanyabiashara aliyekuwa akichunwa na wanawake hadi kufilisika!

Naitwa Godfrey, mwanaume niliyejipatia mafanikio makubwa kupitia biashara yangu ya vifaa vya ujenzi hapa jijini Mbeya. Kwa nje, watu walikuwa wakijua mimi ni mwanaume mwenye bahati kwa sababu ya ukwasi niliokuwa nao, lakini siri ya moyoni ilikuwa ni upweke na maumivu ya kusalitiwa kila uchao.


Kwa zaidi ya miaka tisa, nimekuwa nikiishi maisha ya kutafuta mke wa ndoa lakini nimekuwa nikikutana na “wadudu” badala ya binadamu. Kila mwanamke niliyeanzisha naye mahusiano alikuwa anakuja na gia ya mapenzi, lakini akishajua nina uwezo wa kifedha, anaanza kunichuna kwa visingizio vya kusaidia ndugu zao, kisha anatokomea na mwanaume mwingine.


Nilihisi nina nuksi inayovutia wanawake wenye roho za kimasikini na unyang’anyi tu.


Hali hii ilinipelekea kufilisika mara mbili kwa sababu ya kutoa fedha nyingi kwa wanawake walioahidi kunizalia na kunijengea familia. Nilianza kuitwa “ATM inayotembea” na rafiki zangu wa karibu, jambo lililonifanya nianze kuchukia wanawake na kuishi kama mtu aliyekata tamaa.

ENDELEA KUSOMA

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad