MAKAMU WA RAIS MHE.BALOZI EMMANUEL NCHIMBI ASHIRIKI MISA TAKATIFU YA KUMUOMBEA HAYATI JPM - SINGIDANI BLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Tuesday, 17 March 2026

MAKAMU WA RAIS MHE.BALOZI EMMANUEL NCHIMBI ASHIRIKI MISA TAKATIFU YA KUMUOMBEA HAYATI JPM

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akiungana na Viongozi pamoja na Wananchi mbalimbali katika Adhimisho la Misa Takatifu ya Kumbukizi ya Miaka Mitano ya Kifo cha Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, inayofanyika Chato mkoani Geita, leo tarehe 17 Machi 2026.

Misa hiyo inaongozwa na Askofu wa Jimbo Katoliki Rulenge – Ngara, Mhashamu Severine Niwemugizi.


No comments:

Post a Comment

Post Top Ad