Hasara zilizomfanya
akate tamaa
John Nyakundi,
mfanyabiashara wa nguo mjini Kisii, anasema alifika hatua ya kukata tamaa baada
ya biashara yake kuanza kuporomoka ghafla. Kwa zaidi ya mwaka mmoja, alikuwa
akipata hasara mfululizo licha ya kujaribu mbinu tofauti za kuvutia wateja.
Kwa mujibu wake, wateja walipungua kwa kiasi kikubwa na hata wale waliokuwa wa kudumu walianza kupotea. Bidhaa zilikaa dukani kwa muda mrefu bila kuuzwa na gharama za uendeshaji zikazidi kuwa kubwa.








No comments:
Post a Comment