MWALIMU ALIYEKUWA AKILIMA VIBARUA APATA SHAVU LA KIMATAIFA! - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Saturday, March 14, 2026

MWALIMU ALIYEKUWA AKILIMA VIBARUA APATA SHAVU LA KIMATAIFA!

Mwalimu aliyekuwa akilima vibarua apata shavu la kimataifa!
-----------------------------------

Kuna wakati unafika unahisi dunia nzima imekugeuzia mgongo, hasa unapoona miaka inapita huku elimu yako haina faida. Mimi naitwa Joyce, mzaliwa wa mkoa wa Kilimanjaro. Licha ya kuwa na Shahada ya Ualimu niliyohitimu mwaka 2019, nilijikuta nikiishi maisha ya kudhalilika kwa miaka sita.


Badala ya kushika chaki darasani, nilikuwa nashika jembe kulima bustani za majirani ili nipate pesa ya kula na kulipa kodi ya chumba kidogo.


Kila nikiangalia umri wangu ukisogea kuelekea miaka 34, moyo ulikuwa unanidunda kwa hofu. Marafiki zangu wote walikuwa wameolewa na kuanza maisha, lakini mimi nilikuwa bado nategemea msaada wa ndugu ambao tayari walishaanza kunichoka.

ENDELEA KUSOMA

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad