Naitwa Hadija, mkazi wa mkoa wa Tanga.
Maisha yangu ya ndoa kwa miaka nane yalitawaliwa na simanzi na vilio vya kila usiku. Mume wangu, ambaye nilimpenda kwa dhati, alianza kunibadilikia na kuniambia kuwa kama sitabeba ujauzito ndani ya mwaka huo, basi nifunge virago niondoke kwani hawezi kuishi na “mwanamke asiyezaa”. Kauli hiyo iliniua kisaikolojia, nikaanza kukonda na kupoteza nuru ya uso wangu.
Nilizunguka kwenye nyumba za ibada na kufanya maombi ya kila aina, lakini bado tumbo langu lilikuwa gumu.
Nilianza kuamini kuwa labda kuna mtu amenifunga kwa kijicho ili nisipate heshima ya kuitwa mama.
Kila nilipomuona mwanamke mjamzito barabarani, machozi yalikuwa yanatoka yenyewe, nikijiuliza mimi nimeikosea nini dunia.








No comments:
Post a Comment