NILIFUKUZWA KAZI NIKIWA SINA HATA MIA, LAKINI SIKU MOJA TU BIASHARA YANGU ILINIPA FAIDA AMBAYO SIKUWAHI KUFIKIRIA - SINGIDANI BLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Friday, 6 March 2026

NILIFUKUZWA KAZI NIKIWA SINA HATA MIA, LAKINI SIKU MOJA TU BIASHARA YANGU ILINIPA FAIDA AMBAYO SIKUWAHI KUFIKIRIA

Nilifukuzwa kazi nikiwa sina hata mia, lakini siku moja tu biashara yangu ilinipa faida ambayo sikuwahi kufikiria
....................................................

Jina langu ni Salum. Mimi ni kijana kutoka Mwanza ambaye maisha yangu yalibadilika ghafla baada ya tukio ambalo mpaka leo nikilikumbuka nacheka na kushukuru Mungu.

Miaka michache iliyopita nilikuwa nafanya kazi katika duka moja la vifaa vya ujenzi mjini. Haikuwa kazi kubwa sana lakini ilinisaidia kulipa kodi ya chumba changu na kusaidia familia yangu kijijini.

Maisha yalikuwa ya kawaida tu. Sikuwa tajiri lakini sikuwa na matatizo makubwa.

ENDELEA KUSOMA

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad