Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye hafla ya kupokea
Ripoti ya Tume ya Rais ya Kutathmini Maboresho ya Mfumo wa Kodi nchini, Ikulu
Jijini Dar es Salaam tarehe 18, Machi, 2026.
Mwenyekiti wa Tume ya Rais
ya Kutathmini Maboresho ya Mfumo wa Kodi nchini Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu Mhe.
Balozi Ombeni Sefue akizungumza kabla ya kukabidhi Ripoti ya Tume hiyo kwa Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Ikulu
Jijini Dar es Salaam tarehe 18, Machi, 2026.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya Tume ya
Rais ya Kutathmini Maboresho ya Mfumo wa Kodi nchini kutoka kwa Mwenyekiti wa
Tume hiyo, Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu Balozi Ombeni Sefue, Ikulu Jijini Dar
es Salaam tarehe 18, Machi, 2026.
Viongozi mbalimbali waliohudhuria hafla ya
kupokea Ripoti ya Tume ya Rais ya Kutathmini Maboresho ya Mfumo wa Kodi nchini,
Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 18, Machi, 2026.





Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi
mbalimbali mara baada ya kupokea Ripoti ya Tume ya Rais ya Kutathmini Maboresho
ya Mfumo wa Kodi nchini, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 18, Machi, 2026.
Viongozi mbalimbali waliohudhuria hafla ya kupokea Ripoti ya Tume ya Rais ya Kutathmini Maboresho ya Mfumo wa Kodi nchini, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 18, Machi, 2026.






















No comments:
Post a Comment