RAIS. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AWASILI MKOANI ARUSHA KWA AJILI YA ZIARA YA KIKAZI - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Sunday, March 1, 2026

RAIS. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AWASILI MKOANI ARUSHA KWA AJILI YA ZIARA YA KIKAZI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) kwa ajili ya Ziara ya kikazi mkoani Arusha, tarehe 01 Machi, 2026.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad