TANGAZO LA KUPOTEA KAKA YETU - SINGIDANI BLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Tuesday, 17 March 2026

TANGAZO LA KUPOTEA KAKA YETU



 Tunataarifu umma kuhusu kupotea kwa kaka yetu

Jina: PETER MAKANGALE

Eneo alipopotea: Stendi ya Mabasi Magufuli Dar es Salaam.

Tarehe: Aliondoka nyumbani tangu wiki iliyopita, changamoto kubwa ni afya ya akili

Taarifa ya kupotea kwake imeripotiwa kituo cha Polisi.

Tunaomba yeyote mwenye taarifa zozote kuhusu alipo au atakayemuona, tafadhali awasiliane nasi mara moja kupitia namba za kaka yake:

0784-072691 /0783 570 024 na  0754 243724

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad