Siku hiyo ilianza kama kawaida kabisa, lakini iligeuka kuwa siku ambayo ilinivua heshima mbele ya macho ya wengi. Nilikuwa kwenye uhusiano wa siri ambao nilidhani haujulikani kwa mtu yeyote. Nilikuwa nimezoea kuongea na mwanamke mwingine kupitia simu bila mke wangu kujua.
Usiku mmoja, nilikuwa kwenye WhatsApp video call na mwanamke huyo, tukizungumza kwa ukaribu mkubwa bila kujali chochote. Nilihisi niko safe kabisa, nikidhani mke wangu alikuwa amelala.
Ghafla, mlango ulifunguliwa. Mke wangu alikuwa amesimama pale, akinitazama moja kwa moja. Nilihisi damu ikiganda. Simu ilikuwa bado iko live, na kila kitu kilikuwa wazi. Hakukuwa na nafasi ya kujitetea.








No comments:
Post a Comment