Naitwa Salma, na leo nimeamua kuvunja ukimya juu ya kashfa iliyokaribia kunifanya nifukuzwe kama mwizi ndani ya nyumba yangu. Kwa takriban miaka mitatu, ndoa yangu ilikuwa na siri nzito ambayo mume wangu hakuwahi kuijua mpaka siku ya “kiama” ilipofika.
Nilikuwa ninasumbuliwa na tatizo sugu la ukavu na kupoteza kabisa hamu ya tendo la ndoa. Kila mume wangu alipotaka unyumba, nilihisi maumivu makali kiasi cha kunifanya nianze kutafuta mbinu mbadala za siri.








No comments:
Post a Comment