𝐏𝐀𝐒𝐓𝐎𝐑 𝐀𝐊𝐈𝐋𝐈 𝐊𝐔𝐓𝐔𝐌𝐈𝐀 𝐏𝐄𝐓𝐄 𝐋𝐀 𝐀𝐉𝐀𝐁𝐔 𝐊𝐔𝐕𝐔𝐓𝐈𝐀 𝐖𝐀𝐒𝐇𝐈𝐑𝐈𝐊𝐀 𝐊𝐀𝐍𝐈𝐒𝐀𝐍𝐈 - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Wednesday, April 29, 2026

𝐏𝐀𝐒𝐓𝐎𝐑 𝐀𝐊𝐈𝐋𝐈 𝐊𝐔𝐓𝐔𝐌𝐈𝐀 𝐏𝐄𝐓𝐄 𝐋𝐀 𝐀𝐉𝐀𝐁𝐔 𝐊𝐔𝐕𝐔𝐓𝐈𝐀 𝐖𝐀𝐒𝐇𝐈𝐑𝐈𝐊𝐀 𝐊𝐀𝐍𝐈𝐒𝐀𝐍𝐈

Kumeibuka mjadala mkali miongoni mwa waumini baada ya taarifa kusambaa kuwa mchungaji mmoja anayejulikana kama Pastor Akili amekuwa akitumia pete ya ajabu kuvutia washirika kanisani kwake.

 Taarifa hizi zimezua hisia kali huku baadhi ya wakazi wakidai kushuhudia ongezeko la ghafla la waumini katika ibada zake za hivi karibuni.

Kwa mujibu wa chanzo cha karibu na kanisa hilo, idadi ya washirika imeongezeka kwa kiwango kikubwa ndani ya muda mfupi. 

Wengi wanadai kuwa walijikuta wakivutiwa kujiunga na kanisa hilo bila kuelewa sababu kamili.

 Baadhi ya waumini wameeleza kuwa walihisi nguvu isiyo ya kawaida iliyowasukuma kuhudhuria ibada za Pastor Akili mara kwa mara.

ENDELEA KUSOMA

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad