𝐍𝐃𝐎𝐓𝐎 𝐙𝐈𝐋𝐈𝐙𝐎𝐑𝐔𝐃𝐈𝐀 𝐊𝐈𝐋𝐀 𝐔𝐒𝐈𝐊𝐔 𝐙𝐈𝐋𝐈𝐍𝐈𝐍𝐘𝐈𝐌𝐀 𝐀𝐌𝐀𝐍𝐈 𝐌𝐏𝐀𝐊𝐀 𝐍𝐈𝐋𝐈𝐏𝐎𝐆𝐔𝐍𝐃𝐔𝐀 𝐂𝐇𝐀𝐍𝐙𝐎 𝐂𝐇𝐀𝐊𝐄 𝐇𝐀𝐋𝐈𝐒𝐈 - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Sunday, 26 April 2026

𝐍𝐃𝐎𝐓𝐎 𝐙𝐈𝐋𝐈𝐙𝐎𝐑𝐔𝐃𝐈𝐀 𝐊𝐈𝐋𝐀 𝐔𝐒𝐈𝐊𝐔 𝐙𝐈𝐋𝐈𝐍𝐈𝐍𝐘𝐈𝐌𝐀 𝐀𝐌𝐀𝐍𝐈 𝐌𝐏𝐀𝐊𝐀 𝐍𝐈𝐋𝐈𝐏𝐎𝐆𝐔𝐍𝐃𝐔𝐀 𝐂𝐇𝐀𝐍𝐙𝐎 𝐂𝐇𝐀𝐊𝐄 𝐇𝐀𝐋𝐈𝐒𝐈

Kwa muda mrefu nilianza kuota ndoto zile zile karibu kila usiku. Ndoto hizo zilikuwa zinanichanganya sana mara niko sehemu nisiyoijua, mara nakimbizwa, mara naanguka bila mwisho. Nilikuwa naamka nikiwa na hofu na uchovu kana kwamba sikuwa nimelala kabisa.

Mwanzoni nilipuuzia, nikidhani ni mawazo tu ya kawaida.


Lakini kadri siku zilivyopita, ndoto hizo zilianza kurudia kwa mpangilio ule ule. Usingizi wangu ukaanza kuvurugika, na mchana nilikuwa sina nguvu wala utulivu wa akili. Nilijaribu kubadilisha ratiba ya kulala, kupunguza mawazo, na hata kusikiliza ushauri wa watu wa karibu, lakini hali haikubadilika.

ENDELEA KUSOMA

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad