Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndg. Baraka Leonard, akizungumza na Naibu Katibu wa Bunge la Ghana anayeshughulikia Shughuli za Bunge, Ndg. Camillo Pwamang alipomtembelea leo tarehe 29 Aprili, 2026 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndg. Baraka Leonard, akionyeshwa alama kuu na muhimu katika historia na utamaduni wa ufalme wa Ashanti kutoka nchini Ghana na Naibu Katibu wa Bunge la Ghana anayeshughulikia Shughuli za Bunge, Ndg. Camillo Pwamang alipomtembelea leo tarehe 29 Aprili, 2026 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndg. Baraka Leonard, katika picha ya pamoja na Naibu Katibu wa Bunge la Ghana anayeshughulikia Shughuli za Bunge, Ndg. Camillo Pwamang baada ya mazungumzo yaliyofanyika leo tarehe 29 Aprili, 2026 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndg. Baraka Leonard, akisalimiana na Naibu Katibu wa Bunge la Ghana anayeshughulikia Shughuli za Bunge, Ndg. Camillo Pwamang alipomtembelea leo tarehe 29 Aprili, 2026 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.












No comments:
Post a Comment