Jina langu ni Joseph. Nilikuwa na duka langu katika eneo ambalo biashara nyingi zilikuwa zinaendelea vizuri. Lakini ghafla hali ilibadilika, na matukio ya wizi yakaanza kutokea mara kwa mara. Kila baada ya siku chache, jirani mmoja alipoteza bidhaa zake.
Wengine walivunjiwa maduka usiku, na hasara ilikuwa kubwa sana. Hofu ilitanda kila mahali, na kila mfanyabiashara alianza kuishi kwa wasiwasi. Kilichonishtua zaidi ni kwamba, maduka yote yaliyokuwa karibu yangu yaliathirika isipokuwa langu.
---------------------








No comments:
Post a Comment