MAKABIDHIANO KATI YA SERIKALI NA UMOJA WA WATOA HUDUMA ZA MAWASILIANO - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Friday, April 10, 2026

MAKABIDHIANO KATI YA SERIKALI NA UMOJA WA WATOA HUDUMA ZA MAWASILIANO

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Bw. Mohammed Khamis Abdulla akisaini Hati ya Makabidhiano kati ya Serikali na Umoja wa Watoa Huduma za Mawasiliano uliongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Yas Tanzania Bw. Pierre Canton-Bacara (katikati), Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Tanzania Bw. Charles Kamoto wa kwanza (kushoto) pamoja na Mkurugenzi wa Miundombinu ya Mtandao wa Kampuni ya Vodacom Tanzania Bw. Andrew Lupembe katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma tarehe 10 Aprili, 2026.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad