MATUKIO YA WAZIRI MKUU BUNGENI JUMATANO APRILI 15,2026 - SINGIDANIBLOG

Habari za Hivi Punde

Post Top Ad

Wednesday, April 15, 2026

MATUKIO YA WAZIRI MKUU BUNGENI JUMATANO APRILI 15,2026

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza Johari, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 15, 2026. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhandisi Hamad Masauni, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 15, 2026. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu), Prof. Palamagamba Kabudi, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 15, 2026. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akiwa katika viwanja vya bunge kwa ajili ya kushiriki vikao vinavyoendelea jijini Dodoma, Aprili 15, 2026. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad