Siku hiyo ndiyo ilinifanya nijisikie mdogo kuliko kawaida. Nilikuwa nimepanga kukutana na mwanamke niliyempenda sana katika lodge moja tulivu, nikiwa na matumaini ya kuonyesha uwezo wangu na kumfurahisha. Lakini mambo hayakwenda kama nilivyotarajia.
Tulipofika chumbani, kila kitu kilionekana kwenda sawa mwanzoni. Lakini ghafla, nilijikuta nimepoteza kabisa nguvu za kiume. Nilijaribu kila njia, lakini haikusaidia. Mwanamke yule alianza kunitazama kwa mshangao, kisha huzuni ikaingia machoni mwake. Alilia kimya kimya, na mimi nilibaki nimekosa la kusema.








No comments:
Post a Comment